Utaratibu mpya wa kuomba leseni ya udereva TRA toeni elimu kuepusha sintofahamu

Utaratibu mpya wa kuomba leseni ya udereva TRA toeni elimu kuepusha sintofahamu

Ndiyooo tena kama ulipata leseni bila cheti ndiyo kabisa inabidi uanze upya
Are you serious? Mbona ni kituko hiki!! Yani mtu aliye na uzoefu wa 15 barabarani anataka ku-renew lesen anatakiwa kufuata huu utaratibu wa kama wanaoanza!
 
System Developers itakuwa bado wapo kwenye majaribio!
Inaonyesha wazi kabisa, kuna mapungufu ya wazi kabisa kwenye huo mfumo! Hau-accomodate watu wa categories tofautitofauti! Labda kama maelezo yako ni tofauti na mfumo ulivyo!
 
Hii leseni niliyoletewa na mjomba pale Bar itaniponza sasa

Magumashi yananiponza naumbuka mimi
Mm nadhani hawapo serious, labda wanafanya majaribio maana mfumo bado unawazingatia wanaofanya application kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom