Are you serious? Mbona ni kituko hiki!! Yani mtu aliye na uzoefu wa 15 barabarani anataka ku-renew lesen anatakiwa kufuata huu utaratibu wa kama wanaoanza!Ndiyooo tena kama ulipata leseni bila cheti ndiyo kabisa inabidi uanze upya
System Developers itakuwa bado wapo kwenye majaribio!hakuna mtu anakuuliza chochote ni mfumo tu utakutema kisha utajua mwenyewe
Inaonyesha wazi kabisa, kuna mapungufu ya wazi kabisa kwenye huo mfumo! Hau-accomodate watu wa categories tofautitofauti! Labda kama maelezo yako ni tofauti na mfumo ulivyo!System Developers itakuwa bado wapo kwenye majaribio!
Kama huna kumbukumbu huwezi pewa leseni sababu ukiendesha unakuta kibao kinasema nenda kulia wewe sababu hukumbuki utakata kushotoCheti kilipotea, chuo nilichosoma sikikumbuki ila leseni ninayo
Hii leseni niliyoletewa na mjomba pale Bar itaniponza sasaNdiyooo tena kama ulipata leseni bila cheti ndiyo kabisa inabidi uanze upya
Mm nadhani hawapo serious, labda wanafanya majaribio maana mfumo bado unawazingatia wanaofanya application kwa mara ya kwanzaHii leseni niliyoletewa na mjomba pale Bar itaniponza sasa
Magumashi yananiponza naumbuka mimi