Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Utaratibu ukoje kwa Mwanamke ambaye hataki kumwachia mtoto aishi na Baba yake na anadai matumizi "Child Support" kwa nguvu?

Imagine watoto wake wanajifunza nini. Inawezekana kuna muda uchebe anakula mzigo watoto wanasikia mama yao anavyokunjwa na kusikia utamu.

Asubuhi uchebe anatoka sebuleni kavaa taulo kifua nje unadhani wale watoto hawatapata hamu ya kumuonja baba yao wa kambo na ukizingatia ni kijana mwenzao kabisa. [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kulelewa Raha
 
Anaona akikupa mtoto ruzuku itakata !

Au huenda mko wa baba wengi mmepewa mtoto huyo huyo mmoja [emoji108]

Sasa anaogopa kuyatindiganya mambo!
 
Nenda ustawi wa jamii then wataamua ikindikana omba barua uende mahakaman.lakin hakiksha mtoto wako ana 7 to 14 yrs ,vile vile wataangalia kama utaweza kulea huyo mtoto lakin navyojua ningumu kupewa.
Kuhusiana anadai hela mtoto siku zote anatumia hela anamatumiz mengi zaidi ya unavyofikiria ..kwann umnyanganye mama mtoto eti kisa kadai child support sometimes wanaume wanakosea sana. Bora wew uendelee kutokumpa kumpa hela kuliko kutaka kuchukua mtoto mwache akae na mama yake wew kazae huko huko kwengine ulee ..!
 
Usidhubutu kabisa. Muache mwanamke aende yeye mahakamani adai kutokupewa support
Alafu ujenge hoja za msingi upewe Mtoto
Ukienda wewe utakwama.
Kwanza lazima uonekane unapeleka mtoto kwa Bibi. Sasa Bibi na Mama yake nani anapaswa kukaa na mtoto?
Weka ujana pembeni bado hujakua wewe
Wazee wa migogoro ya ndoa tunakushauri Kaa tulia kulia mtoto sio mchezo kumfwatilia kila anakopita hiyo kitu anaweza Mama yake tu
 
Hakuna kitu kama hicho mtt akifikisha miaka 7 ni haki ya baba kumchukua kama hutaki utalea mwenyewe
Pana mengi yanazingatiwa hapo. Mtoto anaweza achukuliwe hata akiwa na mwaka ilimradi tu ithibitike kuwa mama ana kiwango cha chini cha matunzo kuliko baba. Kwa mfano mama hana makazi maalum, anafanya kazi hatarishi kwa mtoto, ana kichaa au maradhi ya muda mrefu au anamnyanyasa mtoto.

Lakino pia ithibitike kuwa mtoto anakoenda kuishi kuna usalama wa kutosha na upatikanaji wa huduma za msingi kwa uhakika.

Nilimchukua mwanangu wa mwaka na miezi mitatu kutoka kwa mama baada ya kujenga hoja, mamake kaolewa na mume mwingine, sina imani na usalama wa mtoto wangu, nilipewa mtoto na nilimlea vema.
 
Ni sawa ndio maana tukasema jamaa ajenge hoja. Sio kumchukia tu mzazi mwenzio useme unataka upewe mtoto
 
Back
Top Bottom