Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Assuming Nyerere kweli alifanya hivyo, hicho bado ni kitu tofauti kabisa. Aliyeshika usukani hakupindua matokeo!Mtu yeyote akishika usukani atabuni utaratibu wake kumfanya anayetaka akamate usukani.
Huu utaratibu umekuwepo yangu vyama vingi vianze mbona kama Mwaka huu kelele ndio zinakuwa nyingi. Kuna story KUWA hata JK aliwahi kushinda mwalimu Nyerere akapondua matokeo.
Hata JPM pia inasemekana hakushinda kwenye mchujo KWA mujibu wa malalamiko ya waliokuwepo na wagombea wenzake kwenye tatu Bora. Huoni hii ndio trend na hata huko mbele hakutakuwa na cha tofauti kama hizo story huwa ni za kweli.Assuming Nyerere kweli alifanya hivyo, hicho bado ni kitu tofauti kabisa. Aliyeshika usukani hakupindua matokeo!
Mkuu, mwaka 1962 mwezi Mei Mwalimu J.K Nyerere akiwa raisi wa TANU alikuwa na andiko lake lenye kusema "Tujisahihishe".Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao. Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia!
Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for any reason) Samia ameshindwa kumaliza term anayopigana kuichukua na hivyo Nchimbi (VP wake mtarajiwa) automatically akarithi kiti cha Rais kwa mujibu wa Katiba,
CCM itakuwa na ujanja gani au sababu zipi za kumzuia Nchimbi kupindisha mchakato wa kupata mgombea Urais kwa ticket ya CCM 2030 na kujiteua yeye kuwa mgombea, kama alivyofanya Samia? Obviously, itakuwa almost haiwezekani kumzuia.
Je, hiki ndicho CCM mlikusudia mliporuhusu uhuni uliofanyika January 2025? Kama ndivyo hivyo, ni lini wanachama wa CCM watapata fursa ya kuweka mgombea Urais kwa ticket ya CCM wanayemtaka wao wenyewe, kama historia inajirudia?
Hizo sasa ni conspiracy theories!Hata JPM pia inasemekana hakushinda kwenye mchujo KWA mujibu wa malalamiko ya waliokuwepo na wagombea wenzake kwenye tatu Bora. Huoni hii ndio trend na hata huko mbele hakutakuwa na cha tofauti kama hizo story huwa ni za kweli.
Ukweli wanajua wenyewe chamani.Hizo sasa ni conspiracy theories!
Ndio maana Polepolepolepole anasema mchakato urudiwe.✍️Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao. Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia!
Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for any reason) Samia ameshindwa kumaliza term anayopigana kuichukua na hivyo Nchimbi (VP wake mtarajiwa) automatically akarithi kiti cha Rais kwa mujibu wa Katiba,
CCM itakuwa na ujanja gani au sababu zipi za kumzuia Nchimbi kupindisha mchakato wa kupata mgombea Urais kwa ticket ya CCM 2030 na kujiteua yeye kuwa mgombea, kama alivyofanya Samia? Obviously, itakuwa almost haiwezekani kumzuia.
Je, hiki ndicho CCM mlikusudia mliporuhusu uhuni uliofanyika January 2025? Kama ndivyo hivyo, ni lini wanachama wa CCM watapata fursa ya kuweka mgombea Urais kwa ticket ya CCM wanayemtaka wao wenyewe, kama historia inajirudia?
Hata sasa hivi kuna fursa nyingi za kulitumia, lakini limegeuziwa mgongo! Nini kitalifanya lisigeuziwe mgongo huko tuendako?Mkuu, mwaka 1962 mwezi Mei Mwalimu J.K Nyerere akiwa raisi wa TANU alikuwa na andiko lake lenye kusema "Tujisahihishe".
Hilo ndilo linaweza kutumika mkuu...
Uko sahihi Mkuu, Ndio maana nimetumia lugha ya "Linaweza"Hata sasa hivi kuna fursa nyingi za kulitumia, lakini limegeuziwa mgogoro! Nini kitalifanya lisigeuziwe mgongo huko tuendako?
Mzee Kikwete alipata kura nyingi lakini zikiwa chini ya asilimia 50 ya wajumbe waliopiga kura kwenye mkutano Mkuu wa mwaka 1995. Mzee Mkapa akawa wa pili na mzee Msuya wa tatu.Assuming Nyerere kweli alifanya hivyo, hicho bado ni kitu tofauti kabisa. Aliyeshika usukani hakupindua matokeo!
Kikwete analipa kisasi. Si akina Warioba walikuwepo na wakabariki Nyerere kupindua meza? Alikuwa anawazoomMtu yeyote akishika usukani atabuni utaratibu wake kumfanya anayetaka akamate usukani.
Huu utaratibu umekuwepo tangu vyama vingi vianze mbona kama Mwaka huu kelele ndio zinakuwa nyingi. Kuna story KUWA hata JK aliwahi kushinda mwalimu Nyerere akapindua matokeo nyuma ya pazia eti Bado kijana.
🤣 🤣 🤣 🔊Na Nchimbi anawachora tu, moyoni anajisemea yaani hawa wameniona boya kuniteua VP badala ya urais.
Mkuu sio Inasemekana, it is true!Hizo sasa ni conspiracy theories!
Una kumbukumbu nzuri sana. Wasiokumbuka vizuri wanachapia tu kwamba Kikwete aliondolewa kinyemela na Nyerere!Mzee Kikwete alipata kura nyingi lakini zikiwa chini ya asilimia 50 ya wajumbe waliopiga kura kwenye mkutano Mkuu wa mwaka 1995. Mzee Mkapa akawa wa pili na mzee Msuya wa tatu.
Mwalimu Nyerere alitoa hoja kwamba ili mgombea awe na nguvu ni muhimu angalao 50+1 ya wajumbe wamkubali. Hoja yake ilikubaliwa na ikabidi upigaji kura urudiwe kwa wagombea wawili wa kwanza. Jina la Mzee Msuya likaondolewa na kubakia mzee Kikwete na Mkapa. Wajumbe walimpitisha Mkapa. Kwa kifupi Nyerere hakufanya mauzauza ya kumwengua mzee Kikwete. Uchaguzi huo ulipewa live coverage.