Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Inaonekana CCM iko mikononi mwa watu ambao uwezo wao wa kuona mbele ni mwisho wa pua zao. Sijui kama wamewahi kufikiria uwezekano wa historia kujirudia!
Hatuombei iwe hivyo, lakini ikitokea (for any reason) Samia ameshindwa kumaliza term anayopigana kuichukua na hivyo Nchimbi (VP wake mtarajiwa) automatically akarithi kiti cha Rais kwa mujibu wa Katiba,
CCM itakuwa na ujanja gani au sababu zipi za kumzuia Nchimbi kupindisha mchakato wa kupata mgombea Urais kwa ticket ya CCM 2030 na kujiteua yeye kuwa mgombea, kama alivyofanya Samia? Obviously, itakuwa almost haiwezekani kumzuia.
Je, hiki ndicho CCM mlikusudia mliporuhusu uhuni uliofanyika January 2025? Kama ndivyo hivyo, ni lini wanachama wa CCM watapata fursa ya kuweka mgombea Urais kwa ticket ya CCM wanayemtaka wao wenyewe, kama historia inajirudia?
2.668 Reaktionen · 114 Mal geteilt | Biblia inasema hivi,mwenye haki wangu ataishi kwa imani nae akisitasita sipendezwi nae,kumbe kama huishi kwa Imani Mungu hapendezwi nae.Lakin ukisoma kitabu cha mwanzo 12 na kuendelea,hata Mungu alipomwita Ibrahim
Biblia inasema hivi,mwenye haki wangu ataishi kwa imani nae akisitasita sipendezwi nae,kumbe kama huishi kwa Imani Mungu hapendezwi nae.Lakin ukisoma kitabu cha mwanzo 12 na kuendelea,hata Mungu...