GE2025 Utaratibu uliotumiwa na CCM Kumpitisha Samia Kugombea Urais 2025 Umetengeneza Dangerous Precedent Kwa Chama!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Subiri 2030 mpango wenu umebuma hakuna utaratibu uliokiukwa we poyoyo. Samia ni hitaji na chaguo la watanzania kwa sasa na ni mpango wa Mungu. Nyie walafi wa madaraka tukutane 2030.
 
Hizi ni porojo tu za wakosaji hakuna cha utaratibu. Huna ht haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…