Official_One
New Member
- Feb 23, 2023
- 4
- 2
Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks kwa jibu lako ni kweli nimeenda mpaka board na wameniambia niandike barua kwa mkurugenzi mtendaji wa board ya mikopo.....ILA WAMENIAMBIA NITAKULA MSOTO!Zikiwa chuo unadeal na chuo,zikirudi board inabidi uende board watakupa muongozo