O Official_One New Member Joined Feb 23, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Feb 24, 2023 #1 Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Feb 25, 2023 #2 Zikiwa chuo unadeal na chuo, zikirudi board inabidi uende board watakupa muongozo
O Official_One New Member Joined Feb 23, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Feb 26, 2023 Thread starter #3 Mr Pixel3a said: Zikiwa chuo unadeal na chuo,zikirudi board inabidi uende board watakupa muongozo Click to expand... Thanks kwa jibu lako ni kweli nimeenda mpaka board na wameniambia niandike barua kwa mkurugenzi mtendaji wa board ya mikopo.....ILA WAMENIAMBIA NITAKULA MSOTO! Nashindwa kuelewa hapo
Mr Pixel3a said: Zikiwa chuo unadeal na chuo,zikirudi board inabidi uende board watakupa muongozo Click to expand... Thanks kwa jibu lako ni kweli nimeenda mpaka board na wameniambia niandike barua kwa mkurugenzi mtendaji wa board ya mikopo.....ILA WAMENIAMBIA NITAKULA MSOTO! Nashindwa kuelewa hapo