mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais akikutaka tu.we chukua fomu tu jina lako atalipitisha
Hii michakato ya chini ni danganya toto na kupoteza muda na pesa bure