Hiyo ndo ccm yetu siku zote, hilo sio jipya labda wewe ndo unasliona leo, Nyerere alitegeneza kitu kinacho it wa "state supremacy" na Raisi ananguvu kupita muhimili so chadema wanapo dai reforms ni uzalendo sio uhaini.......Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siada ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais akikutaka tu.we chukua fomu tu jina lako atalipitisha
Hii michakato ya chini ni danganya toto na kupoteza muda na pesa bure
Wewe umenena kweli.Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siada ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais akikutaka tu.we chukua fomu tu jina lako atalipitisha
Hii michakato ya chini ni danganya toto na kupoteza muda na pesa bure
Masihara ni sehemu ya siasa ππππUkiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais akikutaka tu.we chukua fomu tu jina lako atalipitisha
Hii michakato ya chini ni danganya toto na kupoteza muda na pesa bure
Sawa tumekusoma. Ila CCM ina utaratibu wake ambao huujui.Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais akikutaka tu.we chukua fomu tu jina lako atalipitisha
Hii michakato ya chini ni danganya toto na kupoteza muda na pesa bure
Walianza fojeri kwenye kiti cha uRais. Sasa wamefika kwenye ubunge na udiwani!Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.