Wakuu hembu nipeni utaratibu wa kisheria.
Kuna mtu alipewa RB kwa ajili ya kumkamata mtuhumiwa wa madai.Sasa amemtia hatiani leo alfajiri baada ya kuhangaika kumsaka muda wa mwezi mzima.
-Je sheria ya kusema ndani ya msaa 24 apelekwe mahakamani ina apply kwa kila tukio?
-Na je dhamana ya mtuhumiwa ni lazima mshtaki aikubali kwa kigezo kwamba mahabusu aachie ndani ya masaa 24?
-Na Je dhamana ya mtu kwa sheria ya masaa 24 apelekwe mahakamani na Kesho ni May Mosi.
Je ikitoka dhamana inakuwa kisheria?au hadi Jtatu?