hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Leo nimekaa kwenye foleni ya kupiga picha za NIDA kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa nane kamili
Watu ni wengi na utendaji wa hao watu wa NIDA na mashine zao ni slow sana
Sasa ubaguzi ni kwamba wenzetu wenye Asili ya kihindi wanafika na hawakai folen wanapita moja kwa moja kwenda kupiga picha, ukiwauliza wale watendaji wa NIDA wanasema ni simu kutoka juu
Hii kitu inaumiza sana