Yangu piaTunaendelea, saa yangu hapa ni saa nane na dk 37 ( 2:37 PM )
sio ubaguzi bali wahindi wao wananyoosha mkono wakati wewe mkono wako umeuficha kwapani.Leo nimekaa kwenye foleni ya kupiga picha za nida kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa nane kamili
Watu ni wengi na utendaji wa hao watu wa NIDA na mashine zao ni slow sana
Sasa ubaguzi ni kwamba wenzetu wenye Asili ya kihindi wanafika na hawakai folen wanapita moja kwa moja kwenda kupiga picha, ukiwauliza wale watendaji wa NIDA wanasema ni simu kutoka juu
Hii kitu inaumiza sana
Nda wamepewa bajeti kiduchu saana.Hivi NIDA wamewahi kufanya jambo gani with perfection? Wao ni matatizoooo tu! Utadhani hakuna wasomi na wabobezi wa mambo humo.[emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using iPhone Xr
We bwege kweli. Mhindi anakubagua kwenye nchi yako? Poleni wagogo. Ingekua ni wameru au wachaga leo pangekua na damu hapoLeo nimekaa kwenye foleni ya kupiga picha za NIDA kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa nane kamili