Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa jamii zilizostaarabika kuna bidhaa bei zinatakiwa ziwe standard. Kuuza Bidhaa za electronics, nguo, vyombo, na vipuri za aina moja kwa bei tofauti kwa watu tofauti ni wizi na utapeli mkubwa.
Kwa nini umuuzie mtu mmoja earphones za aina moja kwa Tsh 5,000 halafu mwingine kwa Tsh 10,000? Kwa nini uuze jeans moja kwa 15k, 20k na 30k? Unatumia vigezo gani kufanya biashara hivi kama sio ujanja wa ki wizi na utapeli??
Huu mchezo unaofanyika zaidi Kariakoo ni wizi na utapeli wa wazi kabisa. Hii tabia ya biashara tuliyofundishwa na Waarabu ni ya hovyo sana.