medrickrobert
Member
- Apr 25, 2017
- 58
- 9
ina kama siku nne hvTangu kesi ifunguliwe ina muda gani?!
mkuu nnashukuru sana.. umenipa mwangaKawaida kama mtuhumiwa yupo mahabusu kesi itakuja baada ya siku 14 lakn kama yupo nje kwa dhamana haitazidi siku 30.
Pia kumbuka kama utashindwa kuwasilisha ushahidi ndani ya siku 60 ili kesi ianze kusikilizwa, mahakama inaweza kuondoa shtaka hilo mahakamani. Hapa itategemea pia ni mahakama gani, kwani kwa mahakama za mwanzo , victim mwenyewe ndo anaendesha kesi; mahakama ya wilaya au ya juu zaidi kesi huendeshwa na Public Prosecutors ambao kwa sehemu nyingi sasa ni State Attorney. Pia sheria ya mwenendo wa kesi hutofautiana kati ya Primary Court na Mahakama nyingine za juu
Nadhani hii ni kwa wale wenye mamlaka ya kukamata wanapoyatumia vibaya kwa kukamata watu na kuwazuia bila sababu za msingi. Pia hii inawahusu watu wengine wanapomzuia mtu au kumzuia asitoke eneo fulani bila justifiable reasons. Kwa suala la ndg yetu MALICIOUS PROSECUTION ndo properYap kuna kitu kinaitwa false imprisonment ni kesi ya madai inayoweza kufunguliwa na mtu kwa mwingine aliyesababisha awekwe ndani Bila sababu za msingi utalipa fidia mkuu
Malicious prosecution ni hadi kesi isikilizwe kwa ukamilifu na kutolewa uamuzi na mshtakiwa kuachiwa huru. Kadiri ya swali na jibu lako,you were right!Yap mkuu I wanted kuitaja hiyo just slip of the pen thanks.
Kesi za jinai husimamiwa na Wanasheria wa Serikali. Inavyoonekana,kesi husika ni ya jinai na ipo mahakama ya mwanzo. Kuahirisha yawezekana kama kuna sababu maalum.
Ni sahihi isipokuwa primary courts hakuna S.A.Kesi za jinai husimamiwa na Wanasheria wa Serikali. Inavyoonekana,kesi husika ni ya jinai na ipo mahakama ya mwanzo. Kuahirisha yawezekana kama kuna sababu maalum.
Sahihi learned friend!Ni sahihi isipokuwa primary courts hakuna S.A.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kesi za jinai husimamiwa na Wanasheria wa Serikali. Inavyoonekana,kesi husika ni ya jinai na ipo mahakama ya mwanzo. Kuahirisha yawezekana kama kuna sababu maalum.
inategemea na grounds ulizotumia kwenye kesi yakonikishindwa kuwasilisha ushahidi je kuna uwezekano wa kushtakiwa na mtuhumiwa?
Alafu Asiseme Mtuhumiwa Wake Kama Yeye Ndo Anayemshtaki. Kuahirisha Watahirisha Jamhuri. Labda Kama Ni Mahakama Ya Mwanzo.Kawaida kama mtuhumiwa yupo mahabusu kesi itakuja baada ya siku 14 lakn kama yupo nje kwa dhamana haitazidi siku 30.
Pia kumbuka kama utashindwa kuwasilisha ushahidi ndani ya siku 60 ili kesi ianze kusikilizwa, mahakama inaweza kuondoa shtaka hilo mahakamani. Hapa itategemea pia ni mahakama gani, kwani kwa mahakama za mwanzo , victim mwenyewe ndo anaendesha kesi; mahakama ya wilaya au ya juu zaidi kesi huendeshwa na Public Prosecutors ambao kwa sehemu nyingi sasa ni State Attorney. Pia sheria ya mwenendo wa kesi hutofautiana kati ya Primary Court na Mahakama nyingine za juu
Wewe ni mshtaki au shahidi? Ni jinai au madai?Nina mtuhumiwa wangu yuko mahabusu.. inatakiwa tar 12 kesi isikilizwe. Lakini ushahidi bado sijakamilisha na nikisema niende hiyo tar 12 kuna possibility kubwa ya mtuhumiwa kushinda kesi mana ushahidi bado sijaupata.. Msaada utaratibu ukoje wa kusogeza kesi mbele