Utaratibu wa kuahirisha kesi ukoje

Utaratibu wa kuahirisha kesi ukoje

medrickrobert

Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
58
Reaction score
9
Nina mtuhumiwa wangu yuko mahabusu.. inatakiwa tar 12 kesi isikilizwe. Lakini ushahidi bado sijakamilisha na nikisema niende hiyo tar 12 kuna possibility kubwa ya mtuhumiwa kushinda kesi mana ushahidi bado sijaupata.. Msaada utaratibu ukoje wa kusogeza kesi mbele
 
Kawaida kama mtuhumiwa yupo mahabusu kesi itakuja baada ya siku 14 lakn kama yupo nje kwa dhamana haitazidi siku 30.

Pia kumbuka kama utashindwa kuwasilisha ushahidi ndani ya siku 60 ili kesi ianze kusikilizwa, mahakama inaweza kuondoa shtaka hilo mahakamani.

Hapa itategemea pia ni mahakama gani, kwani kwa mahakama za mwanzo , victim mwenyewe ndo anaendesha kesi; mahakama ya wilaya au ya juu zaidi kesi huendeshwa na Public Prosecutors ambao kwa sehemu nyingi sasa ni State Attorney. Pia sheria ya mwenendo wa kesi hutofautiana kati ya Primary Court na Mahakama nyingine za juu
 
Kawaida kama mtuhumiwa yupo mahabusu kesi itakuja baada ya siku 14 lakn kama yupo nje kwa dhamana haitazidi siku 30.
Pia kumbuka kama utashindwa kuwasilisha ushahidi ndani ya siku 60 ili kesi ianze kusikilizwa, mahakama inaweza kuondoa shtaka hilo mahakamani. Hapa itategemea pia ni mahakama gani, kwani kwa mahakama za mwanzo , victim mwenyewe ndo anaendesha kesi; mahakama ya wilaya au ya juu zaidi kesi huendeshwa na Public Prosecutors ambao kwa sehemu nyingi sasa ni State Attorney. Pia sheria ya mwenendo wa kesi hutofautiana kati ya Primary Court na Mahakama nyingine za juu
mkuu nnashukuru sana.. umenipa mwanga
 
nikishindwa kuwasilisha ushahidi je kuna uwezekano wa kushtakiwa na mtuhumiwa?
 
Yap kuna kitu kinaitwa false imprisonment ni kesi ya madai inayoweza kufunguliwa na mtu kwa mwingine aliyesababisha awekwe ndani Bila sababu za msingi utalipa fidia mkuu
 
Nadhani hii ni kwa wale wenye mamlaka ya kukamata wanapoyatumia vibaya kwa kukamata watu na kuwazuia bila sababu za msingi. Pia hii inawahusu watu wengine wanapomzuia mtu au kumzuia asitoke eneo fulani bila justifiable reasons. Kwa suala la ndg yetu MALICIOUS PROSECUTION ndo proper
 
Kesi za jinai husimamiwa na Wanasheria wa Serikali. Inavyoonekana,kesi husika ni ya jinai na ipo mahakama ya mwanzo. Kuahirisha yawezekana kama kuna sababu maalum.
Ni sahihi isipokuwa primary courts hakuna S.A.
 
Hapo ushaidi bado Mara ngapi,mmekwenda court? Tumia harbes corpus
 
Kawaida kama mtuhumiwa yupo mahabusu kesi itakuja baada ya siku 14 lakn kama yupo nje kwa dhamana haitazidi siku 30.
Pia kumbuka kama utashindwa kuwasilisha ushahidi ndani ya siku 60 ili kesi ianze kusikilizwa, mahakama inaweza kuondoa shtaka hilo mahakamani. Hapa itategemea pia ni mahakama gani, kwani kwa mahakama za mwanzo , victim mwenyewe ndo anaendesha kesi; mahakama ya wilaya au ya juu zaidi kesi huendeshwa na Public Prosecutors ambao kwa sehemu nyingi sasa ni State Attorney. Pia sheria ya mwenendo wa kesi hutofautiana kati ya Primary Court na Mahakama nyingine za juu
Alafu Asiseme Mtuhumiwa Wake Kama Yeye Ndo Anayemshtaki. Kuahirisha Watahirisha Jamhuri. Labda Kama Ni Mahakama Ya Mwanzo.
 
Nina mtuhumiwa wangu yuko mahabusu.. inatakiwa tar 12 kesi isikilizwe. Lakini ushahidi bado sijakamilisha na nikisema niende hiyo tar 12 kuna possibility kubwa ya mtuhumiwa kushinda kesi mana ushahidi bado sijaupata.. Msaada utaratibu ukoje wa kusogeza kesi mbele
Wewe ni mshtaki au shahidi? Ni jinai au madai?
 
Back
Top Bottom