malisak
Platinum Member
- Mar 16, 2006
- 739
- 853
Kumekuwa na taratibu zisizo rasmi ktk kutoa ajira kwenye miradi mbali mbali ya maendeleo nchini mwetu, licha ya kuwa serikali inataka baadhi ya nafasi kupewa wazawa ili nao wapate ajira na kuendeleza ustawi wa nchi.
Badala yake hata nafasi wanazoweza kufanya watanzania wanapewa wageni kwa kisingizio cha kuwa wana uzoefu zaidi katika sekta na na nyanja hizo kwa mfano WAPISHI kwa kisingizo cha hawa wa nyumbani hawajui kupika vyakula vya taifa fulani na kwamba wao hawawezi kula vya kwetu, Ma- TO,WAHANDISI SANIFU,MA - ACCOUNTANT NA MAAFISA UAJIRI ect.
Knachosikitisha zaidi hata wasimamizi wa ndani (watanzania muda mwengine)wapo wanaona na wanshindwa kukemea hali hiyo na kuwaacha watanzania wenzao wakidhalilika kwenye mageti ya maofisi ya miradi mbalimbali kuvizia kazi na nyaraka zao mikononi, halafu tunasema watanzania hawapendi kufanya kazi, Mbona mawakala wa ajira wa serikali na binafsi ni wengi tu kwanini wasitumike ili kutenda haki japo si kwa asilimia nyingi
ila angalau ingepunguza lawama, kuwe na uwazi ktk mambo kama haya maana wasomi wapo mitaani wanadhurura na nafasi zao za kazi wanazichukuwa walowezi kiukweli inauma sana.
Na mbaya zaidi hata hao watanzania wanaofanya kazi kwenye kampuni za kigeni hawapati haki na stahili za ajira zao na wanapothubutu kufungua vinywa vyao kudai na kulalamika wengi wao huishia kufukuzwa kazi bila taarifa na kutopata viinua migongo yao,wakilalamika hakuna wa kuwaetetea zaidi ya kuambiwa aende jmn hii ni haki kweli? tUTAENDELEA KUTESEKA NA UMASIKI MAANA MBINU ZOTE ZA KUJIKWAMUA KIUCHUMI ZIMEBLOKIWA