figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mmmhh, ngoja nijaribu.
Figanigga Mia
P.O Box Wanikondesha
Malazidavi
Mzee Ngengemkeni Mitomingi
C/O Kijiji cha Ujamaa
Huko Kijijini.
Yah: Posa ya bintiyo Mazoea Mitomingi
Salaam sana, ama baada ya salamu sie wote hatujambo
Dhumuni la waraka huu ni kuleta posa kwa binti yako Mazoea Mitomingi, mie ni kijana wa Mzee Mia, huyu balozi wa kijijji cha Malavidavi.
Naambatanisha noti ya sh. 10,000 ya posa.
Wasalaam,
Figanigga
Tafadhali, msisahau majibu muhimu sana.
Akyamama ningekuwa mwanamme ningekosa mke sababu ya kushindwa kutongoza
Beeeeee
wapendwa wazazi watarajiwa!
Mimi naitwa fulani bin fulani, ni mzaliwa wa pili katika familia ya Obama yenye jumla ya watoto watano, naomba kuzaliwa katika familia yenu kupitia kwa binti yenu mpendwa Pretta niliyefahamiana naye hapa Jamii forum na facebook. Naomba Kumposa Preta kufuatana na mila desturi na dini na msichana.
katika familia yetu hakuna wala sijawahi kusikia kama kuna magonjwa ya kurithi.
Naambatanisha barua hii na kishika uchumba cha laptop moja aina ya Dell optilex yenye thamani ya dolari elfu mbili.
Wenu mwanenu mtarajiwa
Fulani bin Fulani wa Kigambonino Dar
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
ha ha.....hii full kiboko wallah.........