Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Barua zilitumika kipindi kile kabla ya ujio wa sim ila sasa unatuma tu sms kwa wakwe over
Kuna nyumba hawaangalii pesa ndg utatolewa mbio
Na hii barua unaiandika kwa mkono au inaichapa.,, na mfumo mzuri ni kama barua za kiofisi ama
Inatemeana na unakopeleka labda kama kwao teknolojia bado ni msamiati kwao.Na hii barua unaiandika kwa mkono au inaichapa.,, na mfumo mzuri ni kama barua za kiofisi ama
bado mnaishi pamoja hadi leo?Inatemeana na unakopeleka labda kama kwao teknolojia bado ni msamiati kwao.
Mimi binafsi niliandika kwa simu nilitumia (officeapp) nilipomaliza nikaituma kwa gmail kwa mshikaji aliyeko huko ukweni..
Akai print stationary..nikatuma muamala wa kishika uchumba ikingizwa katika barua.
Mshikaji akampelekea mzee flan akaipokea akapeleka kwa wakwe.
Barua iliposomwa majibu ndani ya siku mbili nikatumiwa na mshikaji kwa watsap..🤣🤣.
Nikapangiwa vya kulipa.
Siku ya kwenda kulipa mahali ndo nikaenda kuprint barua hyo ya majibu stationary tukaenda nayo ukweni.
Yaani hata sikusumbuka kutuma li barua kwa konda au kwa basi.
Hayo yote yamefanyika mwaka jana mwishoni.
Now nina mke,niliyetuma posa kwa email🤣🤣.