Utaratibu wa kuanzisha biashara ya fumigation

jimmy gab

Senior Member
Joined
Dec 11, 2016
Posts
116
Reaction score
67
Wadau naomba kujua ni utaratibu na vigezo gani nahitaji kufuata ili kuendesha biashara ya fumigation katika kampuni yangu.
 
Wadau naomba kujua ni utaratibu na vigezo gani nahitaji kufuata ili kuendesha biashara ya fumigation katika kampuni yangu.
Kampuni yako inaitwaje ?

Uko wapi ?

Kampuni yako ishasajiliwa ?

Unayo ofisi na zana zote zinazotakiwa ?

Waone TPRI ndio wanaohusika na usajili huo.
 
Kampuni yako inaitwaje ?

Uko wapi ?

Kampuni yako ishasajiliwa ?

Unayo ofisi na zana zote zinazotakiwa ?

Waone TPRI ndio wanaohusika na usajili huo.
Mkuu nashukuru sana kwa majibu na ushauri wako. Nipo Mwanza, kampuni ina ofisi na imesajiliwa Brela pia.
 
Mkuu nashukuru sana kwa majibu na ushauri wako. Nipo Mwanza, kampuni ina ofisi na imesajiliwa Brela pia.
Uko Serious, Watafute TPRI ndio hasa wasajili na wasimamizi wa Viatilifu vyote vya wadudu - Nadhani utapata ushauri mzuri na leseni pia ili ufanye kazi kwa uhuru na kuaminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…