Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni yako inaitwaje ?Wadau naomba kujua ni utaratibu na vigezo gani nahitaji kufuata ili kuendesha biashara ya fumigation katika kampuni yangu.
Mkuu nashukuru sana kwa majibu na ushauri wako. Nipo Mwanza, kampuni ina ofisi na imesajiliwa Brela pia.Kampuni yako inaitwaje ?
Uko wapi ?
Kampuni yako ishasajiliwa ?
Unayo ofisi na zana zote zinazotakiwa ?
Waone TPRI ndio wanaohusika na usajili huo.
Uko Serious, Watafute TPRI ndio hasa wasajili na wasimamizi wa Viatilifu vyote vya wadudu - Nadhani utapata ushauri mzuri na leseni pia ili ufanye kazi kwa uhuru na kuaminikaMkuu nashukuru sana kwa majibu na ushauri wako. Nipo Mwanza, kampuni ina ofisi na imesajiliwa Brela pia.