funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki .
Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake.
Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu kubofya kwenye simu na taasisi ikatokea.
Scrutiny ya hali ya juu ifanyike kama kawaida na waliopo field wasidharaulike au kuonekana ni wakwamishaji bali wapewe nafasi ya kina kufanya tathmini ya hali ya juu.
Bila kufanya hivyo tutakuwa na uyoga wa taasisi ambazo hazikidhi matakwa mbalimbali ya kisheria na kimaadili.
Hili ni somo tu!
UKIRITIMBA (BEUROCRACY) ni sifa muhimu ya Serikali ambayo haitakiwi kuachwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!