Nimekwishazipata hapa https://www.parliament.go.tz/upload...679637-KANUNI ZA BUNGE TOLEO LA JUNI 2020.pdfNinaomba nakala ya hizi kanuni za Kudumu (2020) au link ya kuzipata
Mpaka Chama husika kizitaarifu taasisi husika( Tume ya Uchaguzi na Bunge) kwa maandishi na sio kupitia vyombo vya habari ndio wabunge waliovuliwa uanachama watakoma kuwa wabungeNa vipi kwa Mbunge aliyefukuzwa uanachama ktk chama chake cha Siasa?.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Umejuaje?.Mpaka Chama husika kizitaarifu taasisi husika( Tume ya Uchaguzi na Bunge) kwa maandishi na sio kupitia vyombo vya habari ndio wabunge waliovuliwa uanachama watakoma kuwa wabunge
Kuna ushahidi kupitia vyombo vya habari kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA wamevuliwa uanachama na chama chao. Hakuna ushahidi hata wa kauli tu ya kwenye vyombo vya habari kwamba CHADEMA wameshaiandikia NEC barua kuitaarifu maazimio yao ya kuwavua uanachama hao wabunge wao.
Kama ushahidi uliopo kupitia vyombo vya habari kuwa wanachama 19 wa CHADEMA ambao ni wabunge wamevuliwa uanachama, unaonekana sio njia rasmi huo ushahidi wa kauli kwa vyombo vya habari kutaarifu kuwa wameandika barua kwa NEC na Bunge utasaidia nini? Ama ndio itakauwa rasmi kama ulivyoeleza awali?Mpaka Chama husika kizitaarifu taasisi husika( Tume ya Uchaguzi na Bunge) kwa maandishi na sio kupitia vyombo vya habari ndio wabunge waliovuliwa uanachama watakoma kuwa wabunge
Kuna ushahidi kupitia vyombo vya habari kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA wamevuliwa uanachama na chama chao. Hakuna ushahidi hata wa kauli tu ya kwenye vyombo vya habari kwamba CHADEMA wameshaiandikia NEC barua kuitaarifu maazimio yao ya kuwavua uanachama hao wabunge wao.
Hoja yangu ni kwamba CHADEMA haijasema hadharani kama wamewaandikia NEC kuwataarifu rasmi uamuzi wa Kamati Kuu yao wa kuwavua uanachama hao wabunge. Kauli aliyoitoa Mbowe ni kwamba milango ya kuomba radhi iko wazi na hiyo inaashiria barua kwa tume haitakwenda karibuniKama ushahidi uliopo kupitia vyombo vya habari kuwa wanachama 19 wa CHADEMA ambao ni wabunge wamevuliwa uanachama, unaonekana sio njia rasmi huo ushahidi wa kauli kwa vyombo vya habari kutaarifu kuwa wameandika barua kwa NEC na Bunge utasaidia nini? Ama ndio itakauwa rasmi kama ulivyoeleza awali?