Utaratibu wa Kubadilisha Jina langu la kwanza kutoka Rashid kuwa Emmanuel

Utaratibu wa Kubadilisha Jina langu la kwanza kutoka Rashid kuwa Emmanuel

Mimi mwenyewe nilifanya mabadiriko ya jina na kufanikiwa,kwanza nenda kwa wakiri anayetambulika na serikali, baada ya hapo utaenda wizara ya ardhi, nyumba na makazi ambao watakupa hati ya kubadirisha jina.
 
kwan kuna hela zinahtjika ktk mchakato huo wa kubadili jina? na kama tsh. ngapi? na mm kw sbb cjasoma sn, c itakuwa rahc
 
mm ktk maisha yng cna mpango tena wa ku2mia vyet vya shule kwa sbb nataraj kuwa mchungaj. kwa iyo kuitwa pastor rashid?
Kwanza unavyo?[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na kama unavyo kwann usivitumie,ulisoma ili iweje[emoji4] [emoji2]
 
Back
Top Bottom