Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 119
- 457
Wakuu naomba kujuzwa baada ya malipo ya kulipia magari chakavu ambayo huuzwa na serikali ni gharama gani nyingine natakiwa kulipia ili kubadili umiliki wa zile gari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTAELEKEZWA HUKO UNAPONUNUA HILO GARI,INATEGEMEA GARI ILIPOINGIZWA ILIINGIZWA KWA UTARATIBU GANI NA INAMILIKIWA NA SERIKALI KWA UTARATIBU UPI,MFANO GARI YA TISS INAYOUZWA SI SAWA NA WIZARA, MAWAKALA NA MAMLAKA TOFAUTI TOFAUTI AU MASHIRIKA KM TANESKO NA TRC NK YOTE HAYO NI YA SERIKALI ,ILA CHA MSINGI HATUA ZA MWANZO NA MWISHO ZINAFANANA.Wakuu naomba kujuzwa baada ya malipo ya kulipia magari chakavu ambayo huuzwa
na serikali ni gharama gani nyingine natakiwa kulipia ili kubadili umiliki wa zile gari.
ASANTE MKUU KWA MAWAZO YAKOUTAELEKEZWA HUKO UNAPONUNUA HILO GARI,INATEGEMEA GARI ILIPOINGIZWA ILIINGIZWA KWA UTARATIBU GANI NA INAMILIKIWA NA SERIKALI KWA UTARATIBU UPI,MFANO GARI YA TISS INAYOUZWA SI SAWA NA WIZARA, MAWAKALA NA MAMLAKA TOFAUTI TOFAUTI AU MASHIRIKA KM TANESKO NA TRC NK YOTE HAYO NI YA SERIKALI ,ILA CHA MSINGI HATUA ZA MWANZO NA MWISHO ZINAFANANA.
MUHIMU,WASILIANA NA AFISA USAFIRISHAJI WA KITENGO HUSIKA
SIDHANI KAMA INARUHUSIWA HII NISIJE NIKAWA NAVUNJA SHERIA BILA KUJUACha msingi we tembea nalo hivyo hivyo kama lina STK/SU/SM etc ili upunguze kusumbuliwa na traffics barabarani.,utabadili plate no. Mbeleni huko.