mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani, hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje, tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.

Ingia Bongo Movie...Kama binadamu mwingine ningependa fursa ya kuonana na rais na hata kuongea nae dakika chache kisha kupiga angalau picha moja na si vibaya waandishi wakarusha luningani, hii ni kufuatia kulithika na hata kuwa na kumbukumbu muhimu ya viongozi hawa wa juu kabisa, sasa ndoto kama hii ya abunaswi itatimia kwa utaratibu upi, enyi wenye mamlaka huwa inakuwaje, tupeni utaratibu na sie turidhike katika mioyo yetu au kama ana simu iwekeni hapa japo tumpigie kumsalimu na kumpongeza mengi au kama ana email itakuwa vyema zaidi.
Mbona mnaitana chemba mwaga kila kitu hapa tufaidike wote.njoo inbox
Mbona mnaitana chema mwaga kila kitu hapa tufaidike wrote.
Poa bossnjoo inbox
Asante kwa mchango.Mwambie aweke bodi ya kusimamia bei za huduma za afya kama ilivyo ewura. ..
Pia kuwe bei elekezi kuna wadau wanatoza pesa nyingi masikini hawawezi kulipia wakati afya ni huduma zaidi kuliko biashara