Rais wa tff au?au yule mwingineHabari wanaJF, Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais. Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani. Thanks
Ahsantee! Sanaaa. Mungu akubariki.Anzia kwa mjumbe wako wa mtaa, atakutambulisha kwa mwenyekiti wa serikali yako ya mtaa, utaelekezwa kwa mkuu wa wilaya, halafu kama upo mkoani utaelekezwa kwa mkuu wa mkoa na mkuu wako wa mkoa atakupeleka kwa Bashite, yeye ndiye atakukutanisha na Le Prezidaaa
Kuwa na mahusiano mazuri na Bashite hata kesho unamuona.Habari wanaJF, Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais. Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani. Thanks
Mhh! hiyo Barua Process yake itakuwa kubwa sanaa mpaka ifike IkuluAndikaaa baruaaa kwendaaa ikuluuuu
sent from my desktop computer
Mawasiliano nae sina, Itabidii nitembelee ofisin kwake.Kuwa na mahusiano mazuri na Bashite hata kesho unamuona.
Kama Kingekuwa cha kuambiwa ww ningepost hapa JFTuambie kwanza unachotaka kwenda kumshauri
sent from servant of God
i don't beleive so.Mwenzio hachukui ushauri kwa mtu yeyote zaidi ya DAB. Fanya yako tu
Then display what you believe.i don't beleive so.