Utaratibu wa kufuata kuahirisha masomo

Joined
Jan 2, 2015
Posts
37
Reaction score
3
Habari za shughuli wadau nilitaka nifahamishwe juu ya hili :
nasikia ili kuhairisha masomo chuoni kama umeshasoma lazima uandike barua chuoni sasa ni utaratibu gani stahiiki unafuatagwa chuoni sababu nasikia vyuo vigine watu huwa wanagomewa naomba msaada tafadhari njia ipi ifuatwe ili kupata barua ya kupeleka TCU

NTASHUKURU SANA
 
Naomba msaada sababu nataka kusitisha sababu za kifamilia ninayotoka na memgine mengi naombeni msaada
 
Inafatana na chuo so jaribu kuongea na dean of students wa chuo chenu atakupa utaratibu.
 
Andika barua kwenda kwa DVC ARC kupitia kwa dean of student na kwa dean fuculty ukieleze kinacho kufanya upostpone mwaka wa masomo ikiwezekana weka na docoments.

Kwa maelezo hayo unaweza ukawa umepata mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…