Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kwa sababu gani mkuu?
Anapelekeshwa na huyo unayemuita mkewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu gani mkuu?
Ubaya, ubaya tu.Hustles zote ni za Bro. peke yake.
Sasa hivi ametoka kuongea na mother,
Amemwambia mother kuwa
"Huyu mke akiendeleza usumbufu,
Nachukua mkopo benki kwa dhamana ya nyumba,
Halafu hela naenda kuinvest kwingine.
Kisha benki waje waipige mnada hii nyumba, tuone atadai nini!!!".
Wanawake wanapenda ligi zisizofaa kabisa.
Mwanamke ni mkorofi. Kwasababu mwanamke anaejielewa hawezi vunja ndoa kwa sababu za kipuuzi. Mtu mnawatoto tayari, mna mji kwann sasa msimalizane kiutu uzimaMke nd'o amedai talaka.
Kwa mujibu wa Bro. anadai migogoro ilishamiri baada ya Bro. kupata kibarua wilaya ingine.
Sahihi mkuu....yani ni unasaka life then anakuja na nguo zake tu🙁kikiumana conclusion inajulikanaHawa wanawake wa siku hizi kwann mnahangaika nao katika kutafuta maisha?! Wewe tafuta maisha akija akukute nayo.
Mabinti wa siku hizi hawana discipline na wanajiona wajuaji na wanapenda sana kujiandaa kwa shari.
Ni kuwa mkali tu. Ukicheka nao hawa jamaa wa 50/50 inakula kwako.Yani wanawake wana hii style ya kutuharibia maisha wanaume[emoji853][emoji853]sasa anadai utadhani amewekapo hata cent
Unajikuta bank iko safi likija jinamizi kama hilo tu unaanza upya haijalishi ulitumia mda gan kusaka michongoNi kuwa mkali tu. Ukicheka nao hawa jamaa wa 50/50 inakula kwako.
Sheria ya ndoa imeweka utaratibu ambao hutumika kama msingi wakugawanya Mali za wanandoa zilizopatikana kwa nguvu ya pamoja.Waheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.
Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.
Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.
Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.
Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya nyumba?
Mfano mme anaweza kufanya ujanja gani ili mke atoke kapa?A
Hatua ya kwanza amfukuze huyo mwanamke toka ndani ya nyumba. Kisha mke akienda mahakamani mume aweke Wakili Mzuri kisha Wakili adai kuwa,mke nyumba kaikuta pili hajachangia chochote. Mahakimu huwa wanatofautiana kuhusu namna ya kugawana Mali iliyopatikana ndani ya ndos kuna ambao wanaangalia mchango wa mwenza na kuna wanaogawa nusu kwa nusu lakini kwa Mali iliyochumwa,ndani ya ndoa tu. Huyo Jamaa akijenga hoja vizuri mahakama itatathmini thamani iiliyoongezeka baada ya ndoa na ndio watapigia mgao tu kisha mume anaweza omba kumlipa fidia sio lazima nyumba kuzwe. Mume akiwa mjanja hapo mke anatoka kapa. Suala la mtoto sio hoja nyumba sio Mali ya mtoto
Sheria haitambui mali ya watoto bossHuyo mke hana haki ya kupata chochote hapo maana hivyo vyote alivikuta.
Na kwa lugha nyepesi ni wote hawana haki ya kuiuza hiyo nyumba sababu inasimama kama mali ya mtoto
Na hapo kuchukua mkopo hawezi kwa kuwa kama ameoa lazima mke asainiHustles zote ni za Bro. peke yake.
Sasa hivi ametoka kuongea na mother,
Amemwambia mother kuwa
"Huyu mke akiendeleza usumbufu,
Nachukua mkopo benki kwa dhamana ya nyumba,
Halafu hela naenda kuinvest kwingine.
Kisha benki waje waipige mnada hii nyumba, tuone atadai nini!!!".
Wanawake wanapenda ligi zisizofaa kabisa.
Mke hana uwezo wa kutoa maelekezo kwa nyumba iuzwe isipokuwa mahakamaWaheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.
Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.
Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye ndoa na mchumba wake.
Ujenzi ukaendelea akiwa kwenye ndoa (mkewe ni mama wa nyumbani),
Mpaka wakahamia kwenye ile nyumba.
Hatimaye wakapata mtoto.
Baada ya miaka miwili, ndoa ikaanza kuwa na migogoro kiasi cha kupeana talaka.
Mke anataka nyumba iuzwe, ili wagawane nusu kwa nusu.
Kwa muktadha huu ni sahihi huyu mke kudai nusu ya thamani ya nyumba?
Sheria ya ndoa imeweka utaratibu ambao hutumika kama msingi wakugawanya Mali za wanandoa zilizopatikana kwa nguvu ya pamoja.
Kinachoangaliwa nimchango wakila mwanandoa katika kupatikana kwa mali husika. Kwahio unapaswa kuithibitishia mahakama namna ambavyo Mali imepatikana namchangowako katika upatikanajiwake.
Hatakama wewe ulinunua uwanja nakuweka msingi, baadae muendelezo wakupandisha jengo mpaka upauaji na ukarabati uliwahusisha ninyinyote wawili(yaani kila mmoja wenu alishiliki kwa namna moja ama nyingine kulikamilisha jengo) basi mahakama huamua kugawa kulingana na mchango wakila mmoja.
Hicho ndicho kipimo.
Mke hana uwezo wa kutoa maelekezo kwa nyumba iuzwe isipokuwa mahakama
Na mahakama lazima ijilizishe kuwa mchango wa kila mmoja katika hiyo mali
Na kama ni mama wa nyumbani huwa wanapenda kugawa 30 to 70 asilimia
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app