Utaratibu wa kuhama Taasisi Serikalini

Utaratibu wa kuhama Taasisi Serikalini

Dojiny

Member
Joined
Mar 3, 2014
Posts
95
Reaction score
84
Habari, Mimi ni Auditor katika ofisi ya CAG, naomba kufahamu utaratibu mzuri wa kuhamia BOT.
Asanteni
 
Wewe ndo upo huko,ww ndo wajua vizuri taratibu zote. Ulizia kwa uongozi wako
 
kwa uelewa wangu mdogo
1. Inabidi uandike barua kwenda BoT Kuomba kuhamia na kam nafasi ipo watakujibu nafasi ipo kAribu
No.2- Baada ya kujihakikishia nafas ipo kule unapotaka kuhamia inabidi uandke barua kwa mwAjiri wako juu ya dhumuni la kutaka kuhama taasisi na yeye ataaangalia kam ana uhitaji na wew itakuwa ngumu ila kama anataka na wew usonge mbele lakn inakubd uweke strong reason ya kwann unataka kuhama
Baada ya hapo mwajiri atakupa release letter
3
... itabidi iandikwe bArua kwenda kwa katibu mkuu utumushi kumjilisha kwamba mtumishi kutoka taasisi x amehamia taasisi Y,. Baada ya hapo uhamisho utakuwa umekamilika
NOTE:
wakati unafanya process zote hizi hakikisha kuna godfather katikat kwa Ajili ya ku push MAMBO!!!
. KILA LA KHEIR
 
Habari, Mimi ni Auditor katika ofisi ya CAG, naomba kufahamu utaratibu mzuri wa kuhamia BOT.
Asanteni
Hakuna utaratibu huo wa kumia tu bila hiyo nafasi kuwepo, BoT sio shule au hospital kuwa ukifika utafanya majukum kama wengine waliopo, BoT kuna vitengo ambavyo watumishi wake wapo fixed, ila ikitokea kuna mtu katoka kwa sababu yoyote ile watatangaza nafasi au wanafanya internal transfer hapo ndio unaweza kuomba hiyo nafasi kama mtumishi mwenye sifa linganishi, au wanafanya kitu wenyewe mnaita re categorization.
Na kwasasa BoT kuna intern kibao hao ndio baadae wanawapa ajira za kudumu baada ya kuridhishwa na utendaji wao. Huwa hawana utaratibu wa kuchukua wanyabi kutoka mtaani huko kisa kasoma Economics, Accounting/ Finance na vilivyomo.
 
😂😂😂😂😂Muwe na aibu aisee!Sasa upo hukohuko,umeshindwa kumuuliza mwenzako yeyote kiujanjaujanja?Aaaaarrrgh!Jitathmini!
 
Back
Top Bottom