kwa uelewa wangu mdogo
1. Inabidi uandike barua kwenda BoT Kuomba kuhamia na kam nafasi ipo watakujibu nafasi ipo kAribu
No.2- Baada ya kujihakikishia nafas ipo kule unapotaka kuhamia inabidi uandke barua kwa mwAjiri wako juu ya dhumuni la kutaka kuhama taasisi na yeye ataaangalia kam ana uhitaji na wew itakuwa ngumu ila kama anataka na wew usonge mbele lakn inakubd uweke strong reason ya kwann unataka kuhama
Baada ya hapo mwajiri atakupa release letter
3... itabidi iandikwe bArua kwenda kwa katibu mkuu utumushi kumjilisha kwamba mtumishi kutoka taasisi x amehamia taasisi Y,. Baada ya hapo uhamisho utakuwa umekamilika
NOTE: wakati unafanya process zote hizi hakikisha kuna godfather katikat kwa Ajili ya ku push MAMBO!!!
. KILA LA KHEIR