Utaratibu wa kuingiza mashine za mbao Tanzania

Barya

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
949
Reaction score
1,193
Habari watanzania wenzangu matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vema na hapa kazi tuu uko nchini kwetu,

Lengo ni kuwashirikisha na kupata mawazo yenu
Ninazo machine nne za mbao kazi zake ni
1. Kukata
2. Kuranda
3. Kupasua
4. Kuchora maua,
Ni machine nzuri made in German and italy ,( digital machines with spares)

Machine kwa sasa zipo jijin tallin nchini Estonia, ( Baltic region)

Thaman ya machine hizi ( market value ni 4500 Euros kwa kila moja, japo mi ntauza kwa bei nayotaka kwa kuwa ni zangu na sitaki faida kubwa sana.

Naomba kujua gharama za kusafirishaji hadi Tanzania, na kuzilipia kodi

Note that gharama za usafirishaji kwa ku share container nazijua za kampuni moja nataka nyingine nifanye comparison, pia nijue jinsi gan zinalipiwa bandarini, na taratibu zake

Pia nikizifikisha dar naziuza maana ndo lengo hasa la kuzisafirisha kuzitoa Estonia mpaka dar

Kwa mawasiliano zaid ni PM , kwa yeyote ambaye yuko interested anaweza kujoin nami tukafanikisha kazi hii

+37258767335

+971523328490
 
hapo TRA lazima wale sahani moja na wewe na usipokuaa makini utashangaa mzigo unashidwa kuulipia kodi na unabaki kwao ushauri wangu kama nia yako kuuza ni bora uziuze huko huko au nchi jirani hata kenya
 
Kwanini mkuu kuna tatizo gan
 
juzi kati ma brother aliagiza machine ya kufulia nguo ila ilipofika hapa bongo langolongo kibao ila tunashukuru tulifanikiwa kuilipia
Hebu tueleze vema nini has a tatizo mi zangu zote nataka zifuate utaratibu husika
 
Je we we umejaribu kutafta habari katika sources nyingine tofaut na hii? Ziweke hapa ili tujue tunakurekebisha wapi
 
Mkuu uwe makini sana na hiyo b'ness unayoenda kufanya espicially kwa kucheza na total cost mpaka zifike hapa. Usije ukaingia gharama kuubwa ukajikuta unakosa mnunuzi huku. Make kiukweli workshops nyingiwazo hapa kibongobongo wanatumia mashine za bei rahisi(i.e frm india&china) au za hapahapa kupitia viwanda vyetu vya SIDO.
 
Bei nimeshafanya calculations , bei nikifikisha bongo ni dolla 3200 sawa na million 7 kila moja kwa zote NNE ntauza kwa 26,000,000/=
 
Nshajua transport cost nimefanya calculations nikaona nitauzaje
 
Nshajua transport cost nimefanya calculations nikaona nitauzaje

Nimeshawahi kusafirisha mashine za mbao mara nyingi tu, lakini zangu ni za used kutoka UK. Tunatia kwenye contena la used item na tunashushia Zanzibar. Ushuru ni kama milioni 5 last year.
 
Nimeshawahi kusafirisha mashine za mbao mara nyingi tu, lakini zangu ni za used kutoka UK. Tunatia kwenye contena la used item na tunashushia Zanzibar. Ushuru ni kama milioni 5 last year.
Bado una import izo machine?
 
Nimeshawahi kusafirisha mashine za mbao mara nyingi tu, lakini zangu ni za used kutoka UK. Tunatia kwenye contena la used item na tunashushia Zanzibar. Ushuru ni kama milioni 5 last year.
Yes kaka umeona ee nipe utaratibu
 
Nimeshawahi kusafirisha mashine za mbao mara nyingi tu, lakini zangu ni za used kutoka UK. Tunatia kwenye contena la used item na tunashushia Zanzibar. Ushuru ni kama milioni 5 last year.
Ukifikisha bara bei inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…