Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukipitisha Zanzibar... Hakuna gharama nyingine ambazo naweza kumbuna nazo pindi ninapo taka kuzileta Dar, ukichilia gharama za usafiri wa Zanzibar to Dar?
Mi niliagiza machine zangu toka China, nilifuata procedure za kawaida. Nisafirisha kwa Container ya 40ft mwenyewe na walinichaji $1150 to dsm.cha kukushauri pitishia Zanzibar au bandari ya Mombasa kwani hakuna longolongo sana na hautaumia ukipitishia bandari ya dar utauimia na mzigo wako waweza kukaa sana na usipate kitu nakushuri tu mkuu