Utaratibu wa kuiuzia mahindi Serikali kupitia NFRA ni mgumu sana

Shida ni kuwa serikali haiweki namba za wazi simu za viongozi wenye kutatua hizi kero katika ngazi ya taifa, wanatengeneza mazingira ya rushwa
 
Iliwahi kutokea Iringa miaka ya 1980s, wafanyakazi walikuwa wanafoji kwa kutumia uume kama dole gumba maana vidole gummba vyao vilishafahamika
 
WAnzako wanakutengenezea mazingira ya rushwa ulivyo likondooo wala hujiongezi,toa helq uhudumiwe chapu hii nchi rushwa imehalarishwa usijitoe akili.
 
Nakuhakikishia hili halitatazamwa kwakuwa wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba, wanataka rushwa hao
 
Mkuu hili lilinikuta Mimi, japo nilifanikiwa kupima lakini ni kwa mbinde sana,, wahudumu wao NFRA ni Wala rushwa sana. Wanasumbua wakulima ili wawape/wapewe kitu kidogo. Nilijikuta najuta na kuapa kuwa sitopeleka tena mzigo kwenye haya magodauni ya NFRA.

Vipi upande wako kuhusu malipo.. ushalipwa..?
 
Kiukweli nimekoma aisee jamaa wanakulazimisha uchague mahindi sana kwahali hii bora nipeleke sokoni kuliko kuwauzia hawa
 
Kuna sehemu nilisotea two weeks, siwezi peleka NFRA mizigo wangu tena! Majamaa ni wasumbufu na Wapenda rushwa
 
Kuna usumbufu umejitokeza wakutolipa walio peleka mahindi kituo cha kakozi, tunaomba serikali ifuatilie malipo kama ilivyoahidi kuwa ndani ya wiki mbili.
 
Huu mfumo unawanufaisha zaidi maboss wa NFRA na siyo mkulima wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…