mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,741
Habari za jioni, natumaini mko salama.
Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na wananilipa vema.
Lakini malipo hayo hayajawahi kukatwa kodi maana nilikua nafanya kama hobby tu, ila nimekuja kugundua wateja wengi wananitafuta, nimeona niwe safe side. Naomba kujua utaratibu wa kujisajili niwe natambulika kisheria.
Asante