Utaratibu wa kulipa kodi kwa mtaji wa chini ya milion ukoje?

Utaratibu wa kulipa kodi kwa mtaji wa chini ya milion ukoje?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
 
Back
Top Bottom