Utaratibu wa kulipwa fidia ya ardhi na Serikali upo vipi?

Utaratibu wa kulipwa fidia ya ardhi na Serikali upo vipi?

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimerudi nyumbani Iringa kusalimia mwezi uliopita sasa kuna ndugu yangu alinunuaga shamba maeneo ya Tagamenda Iringa Mjini miaka mitatu iliyopita muda mfupi Serikali walilihitaji hilo eneo kwaajili yakufunga mitambo ya kufua umeme wananchi walijenga eneo hilo na kununua mashamba walihaidiwa kulipwa fidia

Sasa huyu ndugu yangu wakati nipo huku akanitonya kuwa wiki hili ndio wiki ya kulipwa fidia yao sasa juzi kaenda kuchukua pesa yake anasema hajafanikiwa kupata pesa yake hawatoi pesa bila kitambulisho cha mpiga kura

nimeangalia fomu yake naona ina muhuri wa mtendaji wa mtaa passport na inaeleza anastahili kulipwa fidia
 
Back
Top Bottom