😁😁😁Hii nchi ina watu ******* sana,. Mda mwingine inabidi uvae uhusika wanaong'ang'ania kukupa
Nenda polisi watakupa maelekezo sahihi kabisa.Wakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi
Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
Wakuu kwema??

Ndio wapi huko??mbona simple sana kule darknet zinauzwa mpaka dollar 10
View attachment 3384170