Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Pitia huu uzi
Asante
 
Ndio wapi huko??
Screenshot_20250626-095735~2.jpg

Black market.
 
Lazima tujue afya Yako ya akili kwanza, usiwe ukawa una chuki na Zinduna unataka umlipue...tunakupima kwanza afya Yako ndipo hivyo vigezo unaaambiwa🤪
 
Kuna silaha za aina nyingi tu kuliko bastola hawa wamachinga njiani wana silaha za ajabu ajabu wanaziuza bei cheee cha msingi ni kuongea nao vizuri.
 
Wakuu kwema??

Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..

Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi

Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
Huu hapa
 

Attachments

  • AQPX1AF25OJ0NVQ0kraQ0ojquQXGTJW9nE4ZeQSA37aURCSaR3fQkPb7tmSH6kGqxI9EcHtjMQN4zxlgvKnyMwnZ.mp4
    4.3 MB
shida sio wadada wala nini, shida uki Soma maelezo unaona there's some childishness.

yaani ana taka silaha au acid chap chap, as if ni mdoli wa kwenda kuchezea.

Hapa usi shangae hata aki kanyagwa, ata itoa hiyo Glock
Wewe kigego naomba ukae mbali na huu Uzi,. Peleka ujuaji wako huko...
 
Back
Top Bottom