Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Wewe hustahili kumiliki kumiliki Silaha. Wachana nayo.Wakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi
Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
Mmezipata wapi??, na Mimi natakaUnataka Kama haka View attachment 3384194
Sina hasira za karibu,.Kama una hasira za haraka au mtu wa kupenda sifa achana na kumiliki silaha ya moto maana mlango wa jela hautakuwa mbali na wewe. Vinginevyo kama sio mtumishi wa hizi Taasisi za vitengo zinazopata kibali kirahisi jiandae kusota si chini ya miaka 3 mpaka 4 kuhangaikia kibali
Hicho ndiyo kilinifanya nishindwe kuibeba yangu aliyonipa ex wangu eti nikiona maisha magumu nijiue tu .Tanzania huwezi kuipata kirahisi mi niko nayo nje ya Tanzania natamani nije nayo ila nikifikilia ukaguzi wa kijinga hapo sijui niifichie wapi.
Huku mpaka mtoto wa miaka 18 akifika anaenda kununua sio Tanzania maswali kibao na unaweza usipate.Hicho ndiyo kilinifanya nishindwe kuibeba yangu aliyonipa ex wangu eti nikiona maisha magumu nijiue tu .
Wazungu ni wabaya sana
Siyo yangu nimeitoa Google nimekapenda kinoumaMmezipata wapi??, na Mimi nataka
Ni raha sana ,uadui wa kijinga mara sijui nani kanisema vibaya huwezi kuhusikia maana anajua cha moto muda wowote kitamuhusuHuku mpaka mtoto wa miaka 18 akifika anaenda kununua sio Tanzania maswali kibao na unaweza usipate.
Yaani kifupi mna heshimiana😁Ni raha sana ,uadui wa kijinga mara sijui nani kanisema vibaya huwezi kuhusikia maana anajua cha moto muda wowote kitamuhusu
😁😄🤣Nauza pistol njoo dm mi nitabaki na gobole langu hap nyumbani
Lakini si mlikubaliana kuwa Msimu huu na ujao mnajenga timu au?Wakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi
Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Jirani unataka kumiliki mjegeje?
Pesa zishakua nyingi tajiri unataka kujilinda. [emoji1787]
JF traaamu sana!!