Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana bhanaa.
Kumbe unaweza kuandika [emoji406] safii na ikaeleweka, yenye utulivu na upolee

Nimeshtukaa ujue.
wewe una penda manjegeka tu, ime bidi nimjibu hoja kwa hoja.
licha ya kum diss kidogo, kwani ana jifanya ana nijua zaidi.

Una jua Kuna detail ali mezeshwa aka sahau ku clarify, mentor wangu ali nikataza kutumia silaha za kivita kwenye kikao Cha familia 😂😂
 
hebu nionyeshe sehemu niliyo sema au kuwahi kuandika mimi ni bora kuliko mtu yoyote humu?
kila siku naji funza na kujaribu kuwa version bora kupitia maandishi, cause I usually believe we all got a role to play.

Nita juaje Sasa Kama hamna ukaribu ikiwa ume kuja na diss track direct kwangu, as if ni manzi au una seek kuwa simp?

with this lame attitude of yours, mimi siwezi, sitawahi,na sitamani kuwa mdogo wako hata Dunia iumbwe tena.

it's true I got two crdb accounts ila sio za fahari, get your facts right you cocky mf.
Data giver wako hakukwambia accounts zangu nyingine pia?.

Una sema nisi vimbe kisa 60m, maana wengine wana zihonga, bro if I hustle and get the bag, i will always celebrate.
cause nina kuwa ni improved version of myself

wapi nime jinadi kuhusu pesa masikini Mimi, hadi nili anzisha chama Cha ma jobless pro max.
ili kuunganisha nguvu na wanangu kina min -me, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Monetary doctor,

I see you coming easy, that's no good. don't be surprised I outlast mf with a simping and lame character like yours.


View attachment 3384340
Kwahiyo ukiandika hicho kizungu chako cha wavuta bangi huko ulaya na Marekani ndo unadhani utaonekana una swaga au msomi sana au una hela au mafanikio?

We dogo ni FALA 😂 🖕🏾
 
Kwahiyo ukiandika hicho kizungu chako cha wavuta bangi huko ulaya na Marekani ndo unadhani utaonekana una swaga au msomi sana au una hela au mafanikio?

We dogo ni FALA 😂 🖕🏾
We ni mly msaka attention kwa wanaume, Jitahidi upambane uishi na sio kuwa simp Kama mbwa
 
Nani tena kakuudhi mdogo wangu? maana hivyo vitu unavyotaka kumiliki Sio Poa!!
 
Wakuu kwema??

Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..

Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi

Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...

Kama una wivu na demu wako MAPEPE ni kheri usimiliki silaha maana unaweza ukasababisha kugawana majengo ya serikali.
 
Kuna rafiki yangu kaniambia aniletee Pistol from SOUTH AFRICA kwa mil 1
 
Ukifatilia Hadhi ya umiliki na hili wenge huipati labda ukachukue Kigoma, au Kagera(Kabanga). Silaha ni muhimu sana Kuna watu hawasikii kwa maneno lakini wanasikia nikisogeza chamber.
 
Back
Top Bottom