MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mkubalie kaka ,hiyo ni bahati nduguKuna rafiki yangu kaniambia aniletee Pistol from SOUTH AFRICA kwa mil 1
Mkubalie kaka ,hiyo ni bahati nduguKuna rafiki yangu kaniambia aniletee Pistol from SOUTH AFRICA kwa mil 1
Aaah wapiii? Wee kwa fix haujambo. Lolwewe una penda manjegeka tu, ime bidi nimjibu hoja kwa hoja.
licha ya kum diss kidogo, kwani ana jifanya ana nijua zaidi.
Una jua Kuna detail ali mezeshwa aka sahau ku clarify, mentor wangu ali nikataza kutumia silaha za kivita kwenye kikao Cha familia [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ukiandika hicho kizungu chako cha wavuta bangi huko ulaya na Marekani ndo unadhani utaonekana una swaga au msomi sana au una hela au mafanikio?
We dogo ni FALA [emoji23] [emoji1610]
Ili zini saidie nini sasa?, when you're living it haina haja ya kutumia power kubwa kuonyesha hilo.Aaah wapiii? Wee kwa fix haujambo. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Myamalize kiundugu tu, naona unataka kufia jelaWakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi
Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
Hana uvungu wa mguu/unyayo huyu dogo😂Kwa pupa na uharaka huu, wewe haufai na Wala hupaswi kupewa silaha yoyote.
Maturity muhimu, wewe una wenge sana.
Unataka umuue nani?Wakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi
Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
🤣 unataka kununua silaha halafu uende polisi?Nenda polisi watakupa maelekezo sahihi kabisa.
Yaan wee kwa fix, huna mpinzani, unapita bila kupingwa. LolIli zini saidie nini sasa?, when you're living it haina haja ya kutumia power kubwa kuonyesha hilo.
shout out to my father (rip), without him sijui!
Mi raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, karibu hq za chama Chetu
😅😅 cha moto ni mzigo. Kuna rafiki yangu tulikuwa tupo nae kimajukumu, ilikuwa inamtesa kinomaaaKwa akili hii, acha nipite hivi.
Afu hii ya ajali kuna mtu aliniambiaga, sikuwekea maanani, maana ile time, kulikua na conflicts kdg, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa private trip, nime kaa hospital zaidi ya miezi 3 unconscious!.Afu hii ya ajali kuna mtu aliniambiaga, sikuwekea maanani, maana ile time, kulikua na conflicts kdg, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
But polee, ila punguza fix, IB
Duuuh polee sana IB, But fix usikwepee, unazo bhana lol.Ilikuwa private trip, nime kaa hospital zaidi ya miezi 3 unconscious!.
lost a good brother and business partner, nime kwambia uliza hao Wana nijua no fix at all
Una jua ni ngumu kumu eleza kitu ikiwa ana amini lililo kichwani?, nime share Picha na experience kadhaa nikiwa trip za hapa na pale.Duuuh polee sana IB, But fix usikwepee, unazo bhana lol.
Weka plz, mie napendaga vitu kwa evidence,Una jua ni ngumu kumu eleza kitu ikiwa ana amini lililo kichwani?, nime share Picha na experience kadhaa nikiwa trip za hapa na pale.
haya niki weka baadhi ya vitu hapa, still si uta sema sio Mimi!
Fix pekee kijana alizonazo ni kwenye Kuoa otherwise maisha yake hayana fixAfu hii ya ajali kuna mtu aliniambiaga, sikuwekea maanani, maana ile time, kulikua na conflicts kdg, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
But polee, ila punguza fix, IB
Nahisi ni wee kweli ndo uliniambia kuhusu ajari ya huyu IB.Fix pekee kijana alizonazo ni kwenye Kuoa otherwise maisha yake hayana fix
Unaweza niuliza chochote kumhusu nikakuelezea mkuu
About Ajali nakumbuka ni mimi nilikuambia kama sijakosea...
Basi me nawaacha mchangamshane....Nahisi ni wee kweli ndo uliniambia kuhusu ajari ya huyu IB.
mie namzingua tyuuh, wala simaanishi kabisa, couz cna interest ya kujua ya undani wa mtu, iwe kweli au uongo, up to yeye
Namchangamsha tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee, haya poaa. LolBasi me nawaacha mchangamshane....
Mchangamshano mwema mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]