Utaratibu wa kumiliki silaha za moto ukoje?

Yaan mtu aniletee mauza uza na njegeka, nilipize kwa kutumia silaha za moto, nikamatwe niwekwe Jela?

Sasa uchawi na ushirikina unafanya nn Duniani? Piga kipapai kimoko, mtu anachachawa anakuja kwako kwa kutambaa, unapiga faini, unapita vilee.

Tusichezeanee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimesoma comment zako,na najua hali unayoipitia kwa muda huu,

Ushauri wangu kwako ni huu,

Siku zote isipende kuchukua maamuzi yeyote yale unapokua na hasira,majuto ni mjukuu,relax jipe muda,ingekua kila anayetendwa anachukua maamuzi kwa hasira,basi Magereza yangejaa wahalifu,

Kwenye maisha utakutana na mengi, na huwezi kumbadili kila mtu,all you have to do is to learn how to deal with them,kuna maisha baada ya unachokipitia muda huu,remember that.
✍️✍️
 
Easy kijana!

Huwezi jua mtu yuko kwenye Hali gani…. bora kukaa kimya kuliko kuandika Maneno ambayo yatazidi kumkwaza mleta mada. Hekima muhimu
kumbe mna taka muwe pleased, na sio kupewa facts?

Hekima ndio kumpa bubu nyundo na misumari, ili aseme nanyi kwa vitendo!.

Hali ya hisia zako na uhalisia ni mbingu na ardhi
 
Wakuu kwema??

Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..

Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi

Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
Anzia Tanganyika arms, hili ni duka la wauzaji, au ngome pale jeshini ubavuni mwa diamond jubilee ili uchague na ujue bei,

Baada ya hapo rudi ofisi ya mtendaji na mlolongo utaanzia hapo mpaka unatia chuma mkononi

NB:
Kama hakuna umuhimu usimiliki /usitembee na silaha hovyo hovyo
 
kumbe mna taka muwe pleased, na sio kupewa facts?

Hekima ndio kumpa bubu nyundo na misumari, ili aseme nanyi kwa vitendo!.

Hali ya hisia zako na uhalisia ni mbingu na ardhi
Sikiliza!

Hatujuani… tatizo lako huwa unahisi we ni bora na umemzidi Kila mtu humu (hiyo ni dalili ya ujinga na kutokukua ndani yake)

Mtu kasema Uzi wake, wewe mwerevu kwako ukiona ni matapishi usomacho KAA KIMYA! nani kakwambia nataka niwe pleased na nafahamiana na mleta mada au naunga mkono hoja?! Swala ni kwamba “HUJUI MTU YUKO NA HALI GANI KIHISIA WAKATI HUU ANAANDIKA UZI WAKE AU KWA MUDA MREFU NA ANA SONONA YA KITU GANI!”

Punguza ujuaji mdogo wangu… hizo milioni sitini zinazokatwa kila siku kwenye akaunti yako ya kilofa ya fahari huko CRDB zisikufanye ujione special! We ni funza tu kama funza wengine… wenzako wanahonga hizo alafu wapo kimya na hawajinadi waonekane level fulani. Mwenye pesa na mwenye mafanikio huwa ana hekima dhidi ya mawazo ya wenzake na kuyatolea maelezo ya kistaarab akiona hayana umuhimu sana upande wake anabaki kimya…

Uwezo wa kufikiri uende sawa na umri wako FALA wewe!
 
Yaan mtu aniletee mauza uza na njegeka, nilipize kwa kutumia silaha za moto, nikamatwe niwekwe Jela?

Sasa uchawi na ushirikina unafanya nn Duniani? Piga kipapai kimoko, mtu anachachawa anakuja kwako kwa kutambaa, unapiga faini, unapita vilee.

Tusichezeanee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah..hii naipenda na nashauri atumie hii
 
Sikiliza!

Hatujuani… tatizo lako huwa unahisi we ni bora na umemzidi Kila mtu humu (hiyo ni dalili ya ujinga na kutokukua ndani yake)

Mtu kasema Uzi wake, wewe mwerevu kwako ukiona ni matapishi usomacho KAA KIMYA! nani kakwambia nataka niwe pleased na nafahamiana na mleta mada au naunga mkono hoja?! Swala ni kwamba “HUJUI MTU YUKO NA HALI GANI KIHISIA WAKATI HUU ANAANDIKA UZI WAKE AU KWA MUDA MREFU NA ANA SONONA YA KITU GANI!”

Punguza ujuaji mdogo wangu… hizo milioni sitini zinazokatwa kila siku kwenye akaunti yako ya kilofa ya fahari huko CRDB zisikufanye ujione special! We ni funza tu kama funza wengine… wenzako wanahonga hizo alafu wapo kimya na hawajinadi waonekane level fulani. Mwenye pesa na mwenye mafanikio huwa ana hekima dhidi ya mawazo ya wenzake na kuyatolea maelezo ya kistaarab akiona hayana umuhimu sana upande wake anabaki kimya…

Uwezo wa kufikiri uende sawa na umri wako FALA wewe!
hebu nionyeshe sehemu niliyo sema au kuwahi kuandika mimi ni bora kuliko mtu yoyote humu?
kila siku naji funza na kujaribu kuwa version bora kupitia maandishi, cause I usually believe we all got a role to play.

Nita juaje Sasa Kama hamna ukaribu ikiwa ume kuja na diss track direct kwangu, as if ni manzi au una seek kuwa simp?

with this lame attitude of yours, mimi siwezi, sitawahi,na sitamani kuwa mdogo wako hata Dunia iumbwe tena.

it's true I got two crdb accounts ila sio za fahari, get your facts right you cocky mf.
Data giver wako hakukwambia accounts zangu nyingine pia?.

Una sema nisi vimbe kisa 60m, maana wengine wana zihonga, bro if I hustle and get the bag, i will always celebrate.
cause nina kuwa ni improved version of myself

wapi nime jinadi kuhusu pesa masikini Mimi, hadi nili anzisha chama Cha ma jobless pro max.
ili kuunganisha nguvu na wanangu kina min -me, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Monetary doctor,

I see you coming easy, that's no good. don't be surprised I outlast mf with a simping and lame character like yours.

FB_IMG_17464853273041154.jpg
 
I see you coming easy, but don't be surprised I outlast mf with a simping and lame character like yours.

View attachment 3384340
I mean no malice to nobody
 
Wakuu kwema??

Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..

Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua bila shida natakiwa nifanyaje maana Kuna duka nilienda kuuliza wanataka mara kibali sijui wewe uwe mkemia au lab tech wa shule husika uliyepitishwa,. Mambo ni mengi

Wapi naweza nikavipata kiurahisi bila mlolongo mrefu,. Yaani ile ukienda na hela unapata kitu chako husika unaondoka bila kuhojiana hojiana...
Kuna raia wanakuwangia kwenye mipango yako dada?
 
hebu nionyeshe sehemu niliyo sema au kuwahi kuandika mimi ni bora kuliko mtu yoyote humu?
kila siku naji funza na kujaribu kuwa version bora kupitia maandishi, cause I usually believe we all got a role to play.

Nita juaje Sasa Kama hamna ukaribu ikiwa ume kuja na diss track direct kwangu, as if ni manzi au una seek kuwa simp?

with this lame attitude of yours, mimi siwezi, sitawahi,na sitamani kuwa mdogo wako hata Dunia iumbwe tena.

it's true I got two crdb accounts ila sio za fahari, get your facts right you cocky mf.
Data giver wako hakukwambia accounts zangu nyingine pia?.

Una sema nisi vimbe kisa 60m, maana wengine wana zihonga, bro if I hustle and get the bag, i will always celebrate.
cause nina kuwa ni improved version of myself

wapi nime jinadi kuhusu pesa masikini Mimi, hadi nili anzisha chama Cha ma jobless pro max.
ili kuunganisha nguvu na wanangu kina min -me, Selikavu, dosho12, Edo kissy, Monetary doctor,

I see you coming easy, that's no good. don't be surprised I outlast mf with a simping and lame character like yours.

View attachment 3384340
Raisi you mean no malice to somebody always
 
Back
Top Bottom