Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake ndani ya chama ili aweze kupita kihalali na siyo njia za kusema kazi zake ni nzuri zinaonekana na hadaiwi ,tabia baadhi ya wana ccm kusema anaupiga mwingi umesababisha katiba ya chama kuvunjwa na kupitisha maazimio haramu ambayo ndani ya moyo yawana ccm hayapo.
Taifa haliwezi kuchaguliwa raisi kwa njia ya kihuni kwa kigezo cha uchawa wa wanachana ni mhimu mchakato wa kupata mgombea urudiwe na fursa zitolewe kwa watia nia wote na siyo fomu moja
Hata hivo tafiti zinaonesha mama huyo hakubaliki isipokuwa propaganda ya vyombo vya habari vinavyompigania na baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali na watu wanaojulikana kama chawa na baadhi ya wana ccm masilahi ndiyo wanaoaminisha umma kuwa. anatosha na hakuna taratibu zilizovunjwa kwenye mkutano mkuu.
Hili jambo lisiborekebishwa kwa haraka mbeleni kuna giza nene maana yule mzee wa msoga anayoyaratibu ni ya miaka 50 mbele ambayo yatatigharimu. taifa , wazee waliopo wanasababu yakukemea kwa kuwa ni wastaafu wasihofie wajukuu na watoto wao kutopewa vyeo serikalini maana kukaa kimya kutaumiza wengi kuliko wanao .