Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?
Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu?
Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika katika mazingira gani?
Mwenye uelewe atusaidie.
Nina sababu ya kuuliza hili swali.