Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Majukwaa mengine huwa yamepoa sana na hili ni mojawapo.Ngoja waje kukupa muongozo...
nnachofahamu, Kama dhamana inaghalimu milion kumi,Kama hauna fedha taslimu,huwa unaweka mali yenye thamani hiyoNachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?
Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu?
Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika katika mazingira gani?
Mwenye uelewe atusaidie.
Nina sababu ya kuuliza hili swali.
Kwahiyo mtuhumuwa akitoroka mali hiyo inapigwa mnada au mdhamini unakamatwa?nnachofahamu, Kama dhamana inaghalimu milion kumi,Kama hauna fedha taslimu,huwa unaweka mali yenye thamani hiyo
Kwahiyo kama angekimbia, hiyo fedha usingerudishiwa?Nimewahi kumdhamini mtu mahakamani kwa dhamana ya laki tano au milioni Tano, hapo nimesahau kidogo.
Sikutoa hata Senti, niliandika tu.
Hizo dhamana za kuweka fedha mezani sina uzoefu nazo.
Unaweka dhamana ya fedha, na wadhamini pia hata wawili Bashir Yakub labda atusaidie huyu kaka lawyerKwahiyo mtuhumuwa akitoroka mali hiyo inapigwa mnada au mdhamini unakamatwa?
Kwa maneno mengine,fedha inapotumika kama dhamana, mtuhumiwa akitoroka/akikimbia, pesa au mali ilitoyekwa dhamana ndio hutumika?
Mimi bado sielewi kwanini pesa hata iwe nyingi kiasi gani, bado haiwezi kuonyesha ni wapi mtuhumiwa alipo endapo atakimbia unless ni kesi ya madai.
Au mtunumiwa akikimbia, fedha au mali uliyoweka kama dhamana hurudishiwi mpaka mtuhumiwa apatikane?
Wanaojua watufafanulie.
Sijatoa fedha. Nilijidhatiti tu.Kwahiyo kama angekimbia, hiyo fedha usingerudishiwa?
Mashariti yalikuwaje?
Mdhamini kwenye kesi ndie ana hold dhamana ya kesi husika, huyu anasimama juu ya pesa na mali nyingine, kabla ya mahakama kujiridhisha mdhamini haonekani lazima kwanza imtafute popote panapowezekana akikosekana ndio hatua nyingine zifuate, japo hii huwa ngumu sana mara nyingi mdhamini hupatikana kulingana na mazingira tunayoishi.Kwahiyo mtuhumuwa akitoroka mali hiyo inapigwa mnada au mdhamini unakamatwa?
Kwa maneno mengine,fedha inapotumika kama dhamana, mtuhumiwa akitoroka/akikimbia, pesa au mali ilitoyekwa dhamana ndio hutumika?
Mimi bado sielewi kwanini pesa hata iwe nyingi kiasi gani, bado haiwezi kuonyesha ni wapi mtuhumiwa alipo endapo atakimbia unless ni kesi ya madai.
Au mtunumiwa akikimbia, fedha au mali uliyoweka kama dhamana hurudishiwi mpaka mtuhumiwa apatikane?
Wanaojua watufafanulie.
Hii ndio maana yake, mdhamini anachukua nafasi kubwa zaidi ya mali kama hati za nyumba/kiwanja na fedha.Nimewahi kumdhamini mtu mahakamani kwa dhamana ya laki tano au milioni Tano, hapo nimesahau kidogo.
Sikutoa hata Senti, niliandika tu.
Hizo dhamana za kuweka fedha mezani sina uzoefu nazo.
Ndio maana mdhamini anatakiwa awe mtu safi, mwenye uwezo kiuchumi, anuani sahihi au utumishi wa kudumu serikalini.Hii ndio maana yake, mdhamini anachukua nafasi kubwa zaidi ya mali kama hati za nyumba/kiwanja na fedha.
Over.Ndio maana mdhamini anatakiwa awe mtu safi, mwenye uwezo kiuchumi, anuani sahihi au utumishi wa kudumu serikalini.
Mdhamini ni zaidi ya pesa
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?