Mkuu nakushauri usiende maana hatakuona tena maishani
Sio kweli Bwana zipo taratibu ukifuata unaweza kumuona Bwana, japo tz huo utaratibu hauko wazi ,maana ukiwa wazi wabongo watataka KILA siku kwenda kupiga self Kama kimambi, na si kweli kwamba ufike pale upotezwe huo ni huongo , sikia nikupe tukio MOJA
Bwana mmoja kutoka Kigoma, na Kati ya wale waliopigwa chini na vyeti feki, alikaa akawaza Sana na kuamua siku MOJA KWENDA KWa jpm kabla ya kifo chake akamuombe KAZI hata ya kumpigia kiwi viatu vyake, watu kijiweni wakawa wanamuona Kama aliechanganyikiwa na vyuma kukaza
Siku ya siku Jpm katika ziara zake akawa yupo Chato, jamaa akaona lengo lake alilolipanga Sasa akalitimize KWa kwenda Chato na kukutana na jpm Ili akamuombe KAZI face by face Yani , jamaa uyo mpaka Chato,
Akafika mpaka pale maskani KWa Jpm getini akakutana na walinzi,
So akawaomba angetaka kuonana na jpm na lengo zima Kama nilivyoeleza apo juu,
Kati ya walinzi wale ,mmoja akamwambia Mzee huwezi kumuona ila wewe lengo lako kwani ni kumuona jpm au nikupata KAZI Ili kujikwamua na maisha? Au kipaumbele Chako ni kipi Kati ya hivi vitu viwili, ?
Jamaa akasema kipaumbele Cha kwanza ni KAZI, lakini pia akipata nafasi ya kumuona jpm dar moyo wake utajisikia raha Sana,
Yule mlinzi akamwambia kwamba mzee huwezi kumuona ila KWa kua kipaumbele Chako ni KAZI , vipi ukiunganishiwa sehem Ili upate KAZI upo tiyari , jamaa akasema hata KWa mda huo yupo tiyari ,
Kulikua na kampuni MOJA hivi kumbe yule mlinzi alikua na connection akamuunganisha jamaa, so jamaa hakuonana na jpm ila alitoka na connection ya KAZI, japo hakuwa analipwa pesa nyingi lakini ile KAZI imemsaidia kumrudisha kwenye utu wa maisha ,namanisha kipato angalau Cha kuendesha Familia yake
KWa Iyo sio kweli kwamba unasababu za msingi Ufike pale tu hupotezwe nafikili Utaelekezwa ila Kama utaenda kujalibu utakipata unachokitafuta