Anass Hamad
Member
- Sep 30, 2022
- 9
- 7
Habari wana Jamiiforums,
Nauliza, Hivi utaratibu wa kupata bank account kwa jina la biashara yako upoje kwa upande wa Zanzibar?
Na hii sio kampuni bali ni Business Name.
Wanaojua naomba msaada tafadhali. Asante.