Utaratibu wa kupata bank account ya biashara yako

Utaratibu wa kupata bank account ya biashara yako

Anass Hamad

Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
9
Reaction score
7
Habari wana Jamiiforums,

Nauliza, Hivi utaratibu wa kupata bank account kwa jina la biashara yako upoje kwa upande wa Zanzibar?

Na hii sio kampuni bali ni Business Name.

Wanaojua naomba msaada tafadhali. Asante.
 
Chukua tax clearance nenda nayo benki husika watakupa maelekezo
 
Back
Top Bottom