Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 276
- 436
Wadau kama title inavojieleza, ningeopenda kufahamishwa utaratibu wa kufuata ili kupata frame zile za maeneo ya Mwenge.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfata mwenye jengo au msimamiz unaongea nae vizur tuWadau kama title inavojieleza, ningeopenda kufahamishwa utaratibu wa kufuata ili kupata frame zile za maeneo ya Mwenge.
Natanguliza shukrani.
Unamfata mwenye jengo au msimamiz unaongea nae vizur tu
Baadh ya majengo madalal ndio wenye maamuz ya kupangisha kwa hiyo unapaswa kuwasiliana nao
Hizo zipo chini ya madalalAah sikua specific nataka kujua utaratibu wa kupata zile frame mpya za serikali zinazojengwa pale mwenge